Sidhani kama ndani ya CCM kuna mtu mwenye uwezo wa kukemia uovu kwani wote ni waovu. Utatoaje boriti kwenye jicho la mwenzako na kibanzi kwenye jicho lako ukioni? hahahaaaaaa, Wakiweza hapo tutapata Tanzania bila mafisadi.
Kwanini CCM wasiwafukuzilie mbali wale wanaoonekana kukivuruga chama? Au ndio tuseme kuwa hao wanaoleta msukosuko ndio waliokishikilia chama madarakani? Au CHADEMA ndio imara kuliko CCM katika kudiscipline wale wanaoenda kinyume na katiba ya chama?
hata mimi naona CHADEMA WAKO MAKINI SANA KATIKA NIDHAMU NA MAADILI kulliko chama chochote cha siasa, hawa jamaa haaogopi wadhifa wala cheo chako ndani ya chama, humu hakuna mtu alie taasisi, wote ni sawa chini ya katiba yao.