Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawaongei sana Uchaguzi huu wakati wana mengi ya kusema?

Nao
Jiwe hakutegemea kama atapata ushindani awamu hii tangu nimemsikia aliposema ataibadilisha Tanzania kuwa kama ulaya mpaka sasa kimya
Amepima upepo ameona hana uwezi kabisa wa kushindana na lisu kwa sera nawaza sijui jiwe atawaambia nini wananchi
Naona kushindana na kushindwa kwenu ni sifa machadema kweli ninyi ni malofa
 
Hata kwenye mapambano ya ndondi zisizo rasmi mtaani jamaa ambaye huwa haongei sana au kujibujibu huwa ana uhakika na ushindi. Muongeaji sana huwa anakula ngumi moja tu chali anazimia na kupepewa.

Nadhani hizi ndio sababu:

1: Wamekomaa hawahitaji kuongeaongea.
2: Wanaamini katika mikakati yao kuwa inatekelezeka.
3: Wametafiti wapinzani wao na kugundua hawana uwezo kabisa.
4: Wamejiandaa ndio maana hakuna watu wao wanaenguliwa kwa kutokukidhi vigezo.
5: Wanaamini Mgombea wao anasubiriwa kwa hamu na wananchi wampongeze kwa makubwa aliyowafanyia.

Kwa hili nawapongeza. Mambo yenu yameenda kisomi awamu hii.
Sasa mtaongea nini wakati mna tuhuma za kutisha za mauaji
 
Hili LA kukatwa liangaliwe kwa Akili pevu.

Mbona wale wabunge wakomavu hawakatwi? Mbowe,lema, msigwa,mdee etc

Inamanisha wenye uelewa upinzani ni wabaguzi na kule hakuna Team work.

Kwa nini wasingetafuta mawakili wa chsma kusaidia wageni ns wasio na uwezo kujaza kwa uhakika.
Na Kama wanaonewa si wakati refaa mkuu
Kwa hiyo umekuja kuuliza swali ukiwa na majibu mfukoni?
Asiyeona yanayoendelea huko Tanzania,basi atakuwa ni kipofo wa macho,akili,nafsi na roho.
 
Back
Top Bottom