Kwanini CCM hatunadi serikali mbili kwa vidole?

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
Naomba ufafanuzi, Kwanini CCM na vijana wenzangu wa UVCCM kwani si facebook si popote nimeona viongozi wetu wakionesha alama ya vidole viwili kama wenzetu wa UKAWA wanavyofanya ya kuonesha alama ya vidole vitatu kuashiria wanataka serikali tatu ?

Leo nimefanya hivyo nikaonywa na kiongozi wangu lakini hakunipa sababu.
 
au tunataka serikali 2kwa maneno tu na c kwa vitendo
 
hahahaa!!!umenikumbusha niliwaona siku moja kwenye mkutano wao zanzibar eti wananyoosha kidole kimoja cha kulia na kimoja cha kushoto.Yaani ni full kuchanganyikiwa
 

unabahati umeonywa…wenzako wamefukuzwa kwa kuonyesha hivyo vidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…