Kwanini asingemshika tu kiuno

Ooyooo wamendeleo sana wenzetu sisi haya ni bado na kama yapo basi hiyo zomia zomia na kujambisha na makelele yote ya kariakoo yangemziba au kumzibua masikia huyo kadada cha kibongo au cha maji matitu na hiyo purukushani ya siyo ya kawaida lakini huko majuu poa kama mtungi wa maji
 
mkuu unamkakati wakuja na pijini au
 
Wa kusoma wana mambo,

Kitu gani mtu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…