Kwani hamtaki watu wa kujitolea?

Boyfriend15

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
45
Reaction score
102
Nawasilisha kwenu mabosi na wafanyakazi mliopo maofisini

Mimi ni kijana nina miaka 23 mzaliwa wa mbeya lakini kwa sasa ni mkazi wa dar es salaam

nina degree ya ACCOUNTING AND FINANCE IN BUSINESS SECTOR niliopita chuo kikuu Mzumbe mwaka 2023

Pia nina experience kidogo ya sales na cashier(supermarket)

Nina ujuzi wa mifumo mbalimbali ya uhasibu (Accounting packages) kwenye tally prime na quick book

Pia nina knowledge ya computer application (MS WORD, EXCEL)

Nina uwezo wa mambo yote ya kodi (FILLING SDL, PAYEE ,VAT & INCOME TAX)

Natafuta kazi yeyote au internship kwaajili ya kuongeza experience Naamini ninaweza nikaongeza kitu katika kampuni/taasisi

Jamani kama kuna nafasi sehemu naiomba hiyo fursa
Natanguliza shukrani zangu

NB. Kazi yeyote hata nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya

0621774403
 
Kupata sehemu ya kujitolea sikuhizi ni mtiti.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hawatoi nafasi za kujitolea ili mtu upate experience, lakini wakitangaza kazi vigezo vyao wanahitaji uwe na experience. Sasa hiyo experience naipataje Kama nimetuma Maombi kibao ya kujitolea kwenye makampuni lakini wanassma nafasi hazipo
 
Dar ishakuwa cheap labour zone mpaka imefika extent waajiri hawaajiri tena kwakuwa wahitaji ni wengi mno, kinachofanyika ni kuchukua interns tu waje watumikishwe weeeee bila malipo na muda wako ukiisha wachukue wengine. *** seeking experience, zipo namna zingine za kuishi fam laasivyo tutaendelea kuwa watumwa wa hiyari.
 
Habari Mkuu!
Kuna njiambili tu za kupata Intern kwa sasa!
Mosi, Tafuta chawa mmoja ukae naye bega kwa bega!
Pili, Tembelea NGOs huko ndo kuna watu ila serikalini utamaliza viatu Mkuu
 
Hawatoi nafasi za kujitolea ili mtu upate experience, lakini wakitangaza kazi vigezo vyao wanahitaji uwe na experience. Sasa hiyo experience naipataje Kama nimetuma Maombi kibao ya kujitolea kwenye makampuni lakini wanassma nafasi hazipo
Ndio taasisi zetu hizo tanzania[emoji26]
 
Shida hiyo internship lazima ushikwe mkono hata kama nauli hutaki.
 
Kuna shule inahitaji mwalimu wa book keeping

Mshaara 250,000

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…