Kwangu mimi ilikuwa ni kama ndoto……………………..!

very touching story."what goes around comes around" hivyo ndivyo nilivyo jifunza. Tenda wema uende zako usingoje shukrani...,.
 
Story nzuri....naomba tu ubadilishe ending, naona inajirudia rudia. Nakumbuka story ya mwizi na ile ya kaka mpiga picha.
most of Mtambuzi's stories ni predictable, mtu anaanza poa anapigika anarudi tena hewani, angalia ya hii, ya mpiga picha, na zingine.... hata ivo Mtambuzi is great story teller of all times hapa mmu na hata jf in general ndo maana nikamtunuku nafasi kiwenye hall of fame yangu
 
Last edited by a moderator:
speeeeeeeeeeeechless!dah
 
mama yangu anaamini kwamba mimi ni binaadamu mmojawapo mwenye roho ngumu kidogo, amekuwa akiniambia hivyo mara kwa mara.lakini kwa muda mrefu sana toka nitoke machozi leo yamenitoka tena.asante sana kwa hadithi zako zinazochochea misingi ya utu na ustaarabu kwa binaadamu.wakati mwingine hunifanya niamini kwamba kuna mambo mengi nimeyakosa kwa kifo cha munga, mungu amrehemu nawe akuzidishie hekima na maisha marefu ili uzidi kuzitanua kimaarifa bongo na nafsi zetu.
 
Asante kwa darasa lako zuri...ni wachache wenye moyo wa kusaidia. Wengi wetu ni wabinafsi. Mungu azidi kukubariki na akuzidishie zaidi na zaidi....endelea kutoa hii elimu.
 
Mpende Jirani yako kama Nafsi yako na tenda wema uende zako usingoje shukrani
 
Mkuu Mtambuzi hiyo sio kawaida ni jambo kubwa saana na la ajabu, kwa hiyo ujue Mungu anaelewa destiny yako kupitia msaada ulioona kuwa si kitu kwako imekuwa baraka kubwa sana kwenye maisha yako!! Kweli nakuunga mkono ukisaidia usingoje shukurani Bwn Mungu anamilango mingi ya kukusaidia, ahsante kwa ujumbe huu ubarikiwe zaidi!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…