Kwako Yeriko Nyerere

Hii ni one man show , waliotuhumu ndio waliochunguza na kutoa majibu..
Hakuna mgeni kwenye mfumo huu wa CCM kuibia taifa

Iundwe tume huru itupe majibu lakini haya majibu ya kisanii ikulu ni kujitekenya na kucheka kwa CCM
 
Mtu anayetatua tatizo bila kujua chanzo unadhani atatatua mara ngapi hayo matatizo? Tumia ubongo mshaurini akae na wanasheria namna ya kutatua kuzuia biashara ya mtu na mmeandikishana mikataba inamaana unakiuka mlichokubaliana sasa ninyi mlikurupuka kusainishana mikataba na hata kuvunja baada ya kuzinduka unakurupuka pia huoni ni ujuha
 
Ndiyo mana tume ya pili kuna wanasheria
 
H
Hii ni one man show , waliotuhumu ndio waliochunguza na kutoa majibu..
Hakuna mgeni kwenye mfumo huu wa CCM kuibia taifa

Iundwe tume huru itupe majibu lakini haya majibu ya kisanii ikulu ni kujitekenya na kucheka kwa CCM
Hivi ni serikali siyo ccm tofautisha hapo. Ndiyo mana inungwa mkono na vyama vyote vya upinzanj ispimuwa mawakala Wa ufisadi chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…