Kwako Tundu Lissu

MWANDISHI WA UZI UMEANZA VIZURI LAKINI WE NI MATAKO KABISA,NI JINGA KAMA WAJINGA WENGINE NI MAVI NA MAANDAZI KAMA MATAAHILA WENGINE,SASA LISSU KAPONA BAADA YA KUPIGWA RISASI ZOTE ZILE ULITEGEMEA ASIUAMBIE ULIMWENGU YALIYOMPATA? NINA MENGI YA KUKUAMBIA LAKINI WEWE NI SHOGA KAMA MASHOGA WENZAKO NYAMBAFFF
 
TZ bado tuna safari ndefu.

Utawala kwa Sheria kwa waTZ wasiojua sheria pamoja na wanasheria wasiofuata sheria, wakiwepo na watunga sheria (wabunge/wawakilishi) wasiozingatia kanuni (walizojipangia) za Bunge linalotunga sheria,,, HII NI KIZUNGUZUNGU...AENDELEE KUKAA UZUNGUNI

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Sasa kama usalama wake ni mdogo si ndio maana karahisishiwa kuvuliwa ubunge
 
Nasikia chadema wameenda mahakamani ni kweli au vp
 
Kwani Lissu huo ubunge kazaliwa nao au ni lazima awe mbunge au huo ubunge atakua nao milele.Hiyo ni kazi kama kazi zingine leo ipo kesho haipo.Watu wanachopigia kelele ni utaratibu uliotumika kumvua huo ubunge.kwa akili ya kawaida unaona dhahiri hizo sababu zimetumika kwa nia mbaya kwasababu ata kama kuna sheria na kanuni amevunja ila sababu zake zakutokuwepo ziko wazi na kama kweli kungekua na nia ya dhati angetafutwa na kuelezwa anachotakiwa kufanya sio kufutwa ubunge kihun ila kwasababu ni dhamira mbaya ya baadhi ya watu wanaona ni sawa kuteketeza pesa kwa ajili ya uchaguzi ili tu roho zao zifurahi kua wamemkomoa flani kitu ambacho kimsingi hakitusaidii chochote kama nchi.
 
Kwani mtoa mada ni kabila gani tuanzie hapo Kwanza.







Mambo mengi muda mchache
 
Acheni kuhangaika. Lisu kaunga mkono juhudi za Magufuli kiaina. Ni km alivyofanya Nasari. Wakipitia njia ya kutangaza kuwa wanaunga juhudi mnasema wamenunuliwa sasa wamebuni plan B. Kwa utawala huu wapinzani wataisha kwa kuunga mkono juhudi.
 
Kwanza mi naamini huyu Lisu akitua Tu airport lazima atakua chini ulinzi,kama mnabisha subirini.
 
Hakuna Mwanaccm ambaye ni Mcha Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…