Kama hajawahi kuja kwako kukuomba chakula, acha afanye vile anaona sahihi mbele yake mwenyewe.
Ina maana hao mnaowaita watu wa dini sana ndo hawafagi kwa ajali au magonjwa???
Kuna dhambi gani mtu kutumia kipaji chake alichopewa na Mungu kujipatia riziki???
Muhukumu wetu ni mwenyezi Mungu pekee na si mwanadamu.
Unaanzaje kumnyoshea kidole mwenzako badala ya kushughulikia mapungufu yako mwenyewe???
As long as he doesn't steal from you, let him do what he wants for his own bread