Mhe. Diwani Athumani sitanii na wala sina mchezo. Kuna vijana wako tabia yao imezidi. Lakini pia kwanini mtumishi anakaa kituo kimoja zaidi ya miaka 3 yaani hata anajulikana ni balaa. Kuna watu huku washajiona miungu watu. Nawafahamu kwa majina yao hadi nyumba wanazoishi. Mali wanazo miliki husipime. Nisaidie mzee nikupe orodha yao.