Kwako mama lyampopo ingalanengwine

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,487
Mama lyampopo najutia kwa yote niliyokutendea,ni wiki ya pili sasa toka umeniacha na kutoroka wakati nikiwa nimejifunika gubigubi alfajiri ya kudamkia mnadani.
Mama lyampopo usomapo ujumbe tafadhal ni PM il tuyamalize,hakika nimemiss sana.Namba za simu ulibadilisha lakini kupitia sehem hii ambayo najua MMU ndiyo ugonjwa wako hivyo utaupata huu ujumbe.
Naombeni ushirikiano wa kumtafuta mama lyampopo,mama lyampopo ni mweusi,mfupi,anapendelea kuvaa gaun za mtumba,pia anamagaga katika mguu wake wa kushoto,hizo ni baadhi ya sifa zake hivyo mkimwona mnijuze wanajamvi
NB;mama lyampopo ni jina linalofahamika kwangu tu na yey mwenyewe
 
Mmmmmhhh.

Ngoja nipite kwanza
 
Dunia Duara. Ipo siku mtakutana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko wapi mama lyampopo jaman ... Embu rudi haraka baba lyampopo kakumiss ... Khaaaa! JF raha sana
 
Kama ana ID humu ataku pm
 
Sasa huku JF tutamuonaje na hayo magaga ya mguu wa kushoto?
 
niko nae ghetto.. we si ulicheza na hisia zake haukujua umuhimu wake sasa amekuja kwangu amepata penzi murua nilikuwa naomba tu msahau na utubariki ktk penz letu jipya
 
Akirudi andaa
Msasa kile kimbao cha kusugulia miguu
Sukari
Chumvi na
Mafuta ya maji

Msugue mguu kwa msasa, mnawishe
Kisha mpake mafuta ya maji chukua chumvi na sukari vichanganye, umsugue miguu hautaona tena magaga baba lyampompo
 
Hebu weka picha yake niangalie kama atakua ndo huyu anaechana mashuka yangu na magaga yake.
 
Akirudi andaa
Msasa kile kimbao cha kusugulia miguu
Sukari
Chumvi na
Mafuta ya maji

Msugue mguu kwa msasa, mnawishe
Kisha mpake mafuta ya maji chukua chumvi na sukari vichanganye, umsugue miguu hautaona tena magaga baba lyampompo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkumbushe pia chumvi nzuri ya kutumia ni Evelyn Chumvi.
 
Akirudi andaa
Msasa kile kimbao cha kusugulia miguu
Sukari
Chumvi na
Mafuta ya maji

Msugue mguu kwa msasa, mnawishe
Kisha mpake mafuta ya maji chukua chumvi na sukari vichanganye, umsugue miguu hautaona tena magaga baba lyampompo
Ahsante kwa ushauri kuntu,nikimpata hakika hatajutia kuwa nami baba lyampopo,nitafanya vile kama ulivyoniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…