Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani
Baada ya miaka 7 kupita
Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa
Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana kwenye team
Hawa jamaa ni wapambanaj yani wafia team wanajitolea Leo wamekuja wajuaji na wasaliti wa Yanga walio ikimbia team ndio
Wanaishugurikia team, hawa jamaa wako ki maslah wengine walikua singida united Leo baada ya kuona hakuna maslah wamerudi Yanga
Watu kama Caro's,ney,twalibu,na kundi lao wapo ki maslah zaid Mwenyekit nakusihi
Ili jumba bovu lisikuangukia tafuta hawa
Watu task force kaa nao
Tunabahat tu ya kupisha team ya taifa ila tungepotea vibaya sana nakuomba kaaa na hawa watu vinginevyo mwenyekiti unawajua mashabik wa Yanga hatuna uvumilivi nawasilisha.
Jamaa wapambanaji sana hawa wanajitoleatask force ndiyo kitu gani?? Kama wanaipigania Yanga wachangishane wenyewe....Hawa siyo ndiyo wale msimu uliopita waliokuwa wakifanya vurugu uwanjani mmara waipitishe timu mlango gani sijui na klabu kupigwa faini???
Na wewe ni task force ulie nyimwa ulaji shubamit zakoHabari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani
Baada ya miaka 7 kupita
Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa
Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana kwenye team
Hawa jamaa ni wapambanaj yani wafia team wanajitolea Leo wamekuja wajuaji na wasaliti wa Yanga walio ikimbia team ndio
Wanaishugurikia team, hawa jamaa wako ki maslah wengine walikua singida united Leo baada ya kuona hakuna maslah wamerudi Yanga
Watu kama Caro's,ney,twalibu,na kundi lao wapo ki maslah zaid Mwenyekit nakusihi
Ili jumba bovu lisikuangukia tafuta hawa
Watu task force kaa nao
Tunabahat tu ya kupisha team ya taifa ila tungepotea vibaya sana nakuomba kaaa na hawa watu vinginevyo mwenyekiti unawajua mashabik wa Yanga hatuna uvumilivi nawasilisha.
Miaka saba wapi ww mwaka jana mlipofungwa na lipuli kwani ile timu ya dar?
Labda shirikisho la chama cha Tumbaku sikange Taboramtoto akizaliwa anaanza kwanza kutambaa, baadae ndio anatembea, sasa simba mlitaka kukimbia wakati hata kutambaa bado, matokeo yake mmeangukia pua, yanga tutaanza kwanza kuchukua shirikisho mwaka huu, mwakani ndio tunaenda kubeba klabu bingwa afrika