kwako Dr kawambwa ona hii.

Hicho chuo kinatakiwa kifungwe na wahanga walipwe fidia.
 
Duuh syllabus ya chekechea bado iko Uni
 
Sasa mnataka Mwanaasha akasome wapi...
 
Na bado wazazi wanawasombea watoto wao uganda,imani ni tofauti na pesa or else,ukipoteza kitu (pesa eg)hutakuwa nacho,ukipoteza imani utaamini chochote.
 
Mwisho wa siku ni 11961&yule iramba magharib!production
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…