wenzio tumekomaa na moyes yetu ww kidogo tu unakimbia!
Usihame mkuu,Arsenal ilikuepo,ipo na itakuepo,Wenger ni wa kupita tu,nakuhakikishia season ijayo tutarudi kwa kishindo,mbona Liver imerudi tena big four?tuwe wavumilivu kipindi hiki cha mpito.
ww ni mpenzi wa arsernal au umeamua kutukejeri wana emirates wenyewe? Shabiki usie na dira wew,je na hiyo timu ya mwakan ikidundwa,je hutamaliza club? Maana wkt mwingine inawezekana wew ndo ukawa na kimavi,jitafakar kabla ya maamuz.Wanajamvi habari za Asubuhi.
Mimi niseme wazi kuwa ni mshabiki mkubwa wa timu ya Arsenal kutoka jiji la London.
Nimekuwa mshabiki kwa muda wa miaka 15 nusu ya miaka yangu yote niliyoishi duniani.
Hapo miaka ya nyuma ilikuwa ni klabu ya kuogovya lakini kwa sasa imekuwa kama daladala kila timu inapanda. Dustbin ya kutupia takataka.
Nimesikitishwa sana na jinsi Pro.Wenger anavyoipeleka Arsenal.
Lakini naomba kuuliza Je Wenger ni mmoja wa wamiliki klabu ya Arsenal? Kwanini asifukuzwe?
Mimi natangaza rasmi kuwa Kuanzia leo sina timu England mpaka msimu huu uishe niichague timu ambayo haina stress.....
Nawasilisha,......