Kwaeri steven gerrard

kidenge

Member
Joined
Jan 1, 2015
Posts
12
Reaction score
4
BREAKING NEWS:

LIVERPOOL YATHIBITISHA STEVEN GERRARD KUONDOKA WAKATI WA KIANGAZI (BAADA YA MSIMU HUU):

Liverpool wamesema kuwa Steven Gerrard ataondoka timu hiyo baada ya msimu huu kuisha.

Hivi karibuni Gerrard alitimiza miaka 16 akiwa klabuni hapo, lakini nguvu yake imekuwa na misukosuko na ameamua kuendelea na changamoto nyingine.

Liverpool walikuwa wanajaribu kumsainisha Gerrard mkataba mpya, lakini inafikiriwa kuwa anaelekea nchini Marekani kuendelea kucheza mpira huku LA Galaxy ikiripotiwa kuongoza mbio za kumsajili.
 
Kwa sasa magazeti ya Uingereza yanaandika habari za kutunga tunga tu kuhusu usajili wa 2015. Usiwaamini sana, kuhusu hili wamekuwa kama Shigongo tu, ni juzi tu hapa wamevumisha habari za Gareth Bale kutaka kurudi EPL mpaka yeye mwenyewe alivyokanusha. Kwahiyo usiamini kila unachokisikia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…