Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
mambo ya SPECIAL SCHOOL haya.....wale tulio vipaji maalumu ndio tunaelewa!!
My school Iliboru,what a wonderful place!
Mkuu hii siwezi kuisahau kabisa!! Nikiangalia watu wengi tuliopitia hapo sasa hivi maisha yapo vizuri. Hiyo shule imetujenga sana.Kabisaa madogo bado wapo vizuri....nipo kwenye mchakato wa kuwapelekea angalau computer kumi kama walivyoomba katika risala yao. Ilboru ni nyumbani,imenitengenezea ajira pia na heshima.
mambo ya SPECIAL SCHOOL haya.....wale tulio vipaji maalumu ndio tunaelewa!!
Ajira za nape pale lumumba, kuwatetea magamba humu jf. Si haba upo na kalaptop kako full network.Mkuu hii siwezi kuisahau kabisa!! Nikiangalia watu wengi tuliopitia hapo sasa hivi maisha yapo vizuri. Hiyo shule imetujenga sana.
'mlio vipaji maalum' THEN WHAT'S THE OUTPUT OF YOUR 'VIPAJI MAALUM' TO THE NATION??? DO U HAVE A VIPAJI MAALUM UNIVERSITY? NA KWA TAARIFA YAKO MI NIMETOKA KITAA SKULI ZA KAWAIDA TU LAKIN NIMETINGA UDSM NA I BECAME THE BEST IN THE CLASS. TO ME 'VIPAJI MAALUM' IS AN ILLUSION. AND YOU CAN QUOTE ME FOR THIS.
Unajiita best student at university level?? sehemu ambayo unaweza kunegotiate course work??? Sehemu ambayo mwalimu anaweza hata akakupa mtihani na kufaulu?? Uspecial wa mtu unapimwa kuanzia ukiwa mdogo, kuanzia primary education level!! Huwezi kumpima uspecial wa mtu kwa kielimu cha chuo tu!!'mlio vipaji maalum' THEN WHAT'S THE OUTPUT OF YOUR 'VIPAJI MAALUM' TO THE NATION??? DO U HAVE A VIPAJI MAALUM UNIVERSITY? NA KWA TAARIFA YAKO MI NIMETOKA KITAA SKULI ZA KAWAIDA TU LAKIN NIMETINGA UDSM NA I BECAME THE BEST IN THE CLASS. TO ME 'VIPAJI MAALUM' IS AN ILLUSION. AND YOU CAN QUOTE ME FOR THIS.
On a very serious note, miaka hiyo nilikuwa nikisikia mtu anasoma hizo shule walizokuwa wanaziita special schools nilikuwa nahisi watakuwa ni watu fulani very special but i was disillusioned when i met them at the university, there was nothing special in them, na hata huku mtaani baada ya chuo sijaona chochote cha tofauti, labda kina Rejao watuambie what is special with them compared to others!
mambo ya SPECIAL SCHOOL haya.....wale tulio vipaji maalumu ndio tunaelewa!!
mambo ya SPECIAL SCHOOL haya.....wale tulio vipaji maalumu ndio tunaelewa!!
On a very serious note, miaka hiyo nilikuwa nikisikia mtu anasoma hizo shule walizokuwa wanaziita special schools nilikuwa nahisi watakuwa ni watu fulani very special but i was disillusioned when i met them at the university, there was nothing special in them, na hata huku mtaani baada ya chuo sijaona chochote cha tofauti, labda kina Rejao watuambie what is special with them compared to others!
Unajiita best student at university level?? sehemu ambayo unaweza kunegotiate course work??? Sehemu ambayo mwalimu anaweza hata akakupa mtihani na kufaulu?? Uspecial wa mtu unapimwa kuanzia ukiwa mdogo, kuanzia primary education level!! Huwezi kumpima uspecial wa mtu kwa kielimu cha chuo tu!!
Pole mkuu kwa kutokuwa special, tuache tuliokuwa vipaji na mpaka sasa ni vipaji maalumu tujinafasi!!
Tofauti ipo kubwa sema unajifanya huoni. Ubora na uzuri wa kipekee wa shule hizi wana zifahamu waliopita katika shule hizi, kawaulize HAZINA, MOET ......