TFDA Njooni huku,maana kuna mtu anavunja sheria za nchi,Kwanza umesajiliwa wewe? au unataka kuwalisha watanzania dawa/chakula ambayo haijathibitishwa?,Wee umesikia mwenzako dokta mwaka amefungiwa wee ndo unaibuka huku.Tafadhali nenda TFDA kapate ithibati ya hiyo booster yako halafu ndio uje hapa ukiwa kamili.