so ipi ndo bomba zaidi kati ya v5 na v6 ? na kabla ya kusolve tatizo kwa upande wako ulikuwa unatumia ff ya version gani? Nijuze redSilva ili niweze kulifananisha na tatizo lililo kwangu.jaribu kureinstall. kama vipi try 6 beta. ff inakawaida ya kucrush. hata yangu inasame problem inacrush, sasa imepungua baada ya kueka 5beta. kwahio jaribu hvyo. isipokubali, kuna opera,chrome nk.
Mkuu bado unatumia FF 5 Beta?.jaribu kureinstall. kama vipi try 6 beta. ff inakawaida ya kucrush. hata yangu inasame problem inacrush, sasa imepungua baada ya kueka 5beta. kwahio jaribu hvyo. isipokubali, kuna opera,chrome nk.