Kwa wasema uongo tu..

Joined
Mar 2, 2013
Posts
37
Reaction score
5
Ukiwa unaongea uongo uwe unajipanga vya kutosha,.Jamaa mmoja alipata aibu ya mwaka baada ya kujifanya baharia akawambia watu aisee nimezunguka bandari zote dunian, kama china, afrika kusini,marekani na ulaya kwa ujumla, akaulizwa,kwa hiyo unaijua sana JIOGRAFIA?Akajib pale Jiografia tulika kama wiki moja ila sikuteremka melini coz nilikua naumwa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…