vivianlyimo_teamoriflame
Member
- Mar 10, 2017
- 91
- 53
KaribuAhsante ntajutafta,..
Napatikana Iringa kwa sasa lakini ukihitaji bidhaa mkoa wowote nitakutumia.Unapatkana wap?
AsanteTunashukuru.
Kwa nini Daaah lakn?Daaah
Sijaelewa umemaanisha nini?Boss unayo ni bei gani
vyopendaga pafyumKwa nini Daaah lakn?
Sina hiyoMmh Unayo pafyum ya maparachichi, kama unayo nijulishe nikutafute
Hapana nina products za Oriflame tu, na Elle hakuna Oriflame.Una Elle by YSL? Bei gani?
Karibu zipo perfumes nyingi nyingi tuu kwa ajili yakoNna
vyopendaga pafyum
Hauuzi lipstic?Hapana nina products za Oriflame tu, na Elle hakuna Oriflame.
Nauza pia lipstick, hizi hapa...Hauuzi lipstic?
Naomba unioneshe sample na bei zake
Nauza pia lipstick, hizi hapa...Hauuzi lipstic?
Naomba unioneshe sample na bei zake
Nataka hiyo ya 19000' namba 30574 excess namaanisha hiyo ya pinkNauza pia lipstick, hizi hapa...
Nauza pia lipstick, hizi hapa...