Naomba msaada sehemu ya maduka wanayouza vitu original kama leci wig, gundi ya leci wing na saloon nzuri pia naomba kujuzwa maduka ya nguo za kike. Asanteni.
maduka ya mtaa wa uhuru hasa karibu na Delux club kuna hizo saluni na maduka ya bidhaa unazotaka, pia jirani na shule ya pamba sec kuna saloon pia. Wenyeji watakuja kukusaidia zaidi
maduka ya mtaa wa uhuru hasa karibu na Delux club kuna hizo saluni na maduka ya bidhaa unazotaka, pia jirani na shule ya pamba sec kuna saloon pia. Wenyeji watakuja kukusaidia zaidi
Bora ungekaa kimya. Umetoka lini Mwanza ndugu yangu, sababu hiyo unayoita Delux Club sasa ni Kanisa, Maeneo ya Shule ya Pamba sec kupata saloon ni kazi sana.