Watanielewa maana kupeleka kwa mchungaji shekh au media haisaidii. Ndo unajongezea distance namwanaume. Hivi cjawahi ona mwanaume anapeleka kwenye media inamaana wao hawaumizwi. Nacc tujiakaze tulishakubali usawaWanawake wenzio watakuelewa kweli???
Tatizo faiza bado anaendeleza drama zke za kikahaba hta kwnye maisha halisi!!!maneno mengi vitendo hewa oooh mi cna shida na hela yke sasha hanishindi sugu akimchunia,anaanza visa hajielew yle demu mpenda cifa tu nyuma ya keyboard hpo tu[emoji57] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hivi hii mimba yake mpya bado ipo?
Katika wanawake ambao automatically nawapenda hata wafanye lipi la ajabu ni faiza
Kimsingi faiza anampenda sana sugu ila nahisi kuna muda anakuwa stressed ndio maana anareact vile na kupost kumponda sugu
Yipo tena amesema amesha move on namtu mwengine. Sasa asipo jirekebisha azalishwa awachwe tena kwakosa lile lile.Hivi hii mimba yake mpya bado ipo?
Katika wanawake ambao automatically nawapenda hata wafanye lipi la ajabu ni faiza
Kimsingi faiza anampenda sana sugu ila nahisi kuna muda anakuwa stressed ndio maana anareact vile na kupost kumponda sugu
Hivi sugu si alishinda kesi na kupewa mtoto? Mtoto alirudi lini kwa faiza?Faiza hahitaji msaada wa sugu wala penzi lake
Sugu hamtaki faiza tena kapata Bibi mpya
Sasha anamtaka Baba yake, sababu anaelewa Mdingi wake yupo
Sugu hatimizi haja ya Bintiye Sasha akimuepuka faiza
Faiza hataki ukaribu wa mwanae na hawara wa Sugu
Sugu anataka achukue mtoto apeleke kwa Bibiye
Kama Mama, Faiza anaumia kuona mtoto wake analia anamtaka Baba yake na Baba hana time naye
Sugu angetenga mda wa kukaa na Mtoto wake.
Si lazima ampeleke kwa hawala wake
Anaweza mtoa out hata kwa mwezi mara moja tu, wapate mda wao binafsi kama Baba na Binti
Wengine wanadhani kumzalia mwanaume ndo guarantee ya ndoa!!!