Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jun 24, 2013 #21 mimi ananikera kuniambia nilale bila nguo.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jun 24, 2013 #22 Husninyo said: mimi ananikera kuniambia nilale bila nguo. Click to expand... Kero zingine utavunja ndoa..... Kulala na nguo kwenu, kilichokuleta huku hakina uhusiano na kuvaa nguo wakati wa kulala....
Husninyo said: mimi ananikera kuniambia nilale bila nguo. Click to expand... Kero zingine utavunja ndoa..... Kulala na nguo kwenu, kilichokuleta huku hakina uhusiano na kuvaa nguo wakati wa kulala....
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jun 24, 2013 #23 Ngalikihinja said: Kero zingine utavunja ndoa..... Kulala na nguokwenu, kilichokuleta huku hakina uhusiano na kuvaa nguo wakati wa kulala.... Click to expand... nilikuwa sijui, sijui kwanini wazee hawakuniambia.
Ngalikihinja said: Kero zingine utavunja ndoa..... Kulala na nguokwenu, kilichokuleta huku hakina uhusiano na kuvaa nguo wakati wa kulala.... Click to expand... nilikuwa sijui, sijui kwanini wazee hawakuniambia.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jun 24, 2013 #24 Husninyo said: nilikuwa sijui, sijui kwanini wazee hawakuniambia. Click to expand... Si kila kitu utaambiwa na wazee, kuna vingine mazingira yatakufundisha.... Kwani hao wazee walishawahi kukueleze mkiwa mna-DO, mfikishe bao ngapi?
Husninyo said: nilikuwa sijui, sijui kwanini wazee hawakuniambia. Click to expand... Si kila kitu utaambiwa na wazee, kuna vingine mazingira yatakufundisha.... Kwani hao wazee walishawahi kukueleze mkiwa mna-DO, mfikishe bao ngapi?
A ayanda JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 1,340 Reaction score 750 Jun 25, 2013 #25 mjasiria said: Ndo kumegwa kisela huko. Huwezi kujua kipi ni kipi kama unamegwa kisela. Click to expand... ah cha msingi naenjoy kote tu, no stress kabisa.
mjasiria said: Ndo kumegwa kisela huko. Huwezi kujua kipi ni kipi kama unamegwa kisela. Click to expand... ah cha msingi naenjoy kote tu, no stress kabisa.
A ayanda JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 1,340 Reaction score 750 Jun 25, 2013 #26 Ngalikihinja said: Kama komenti zako ndo hizi, basi we endelea kumegwa kisela... vipi kama vyooteee anavyovifanya huvipendi? Kuna ndoa/mapenzi hapo kweli...?? Click to expand... hakuna nikichukiacho wala nikipendacho mbona hunielewi. sina muda wa kuanza kuangalia sijui ananifurahisha na nini sijui ananiboa na nini? mimi naangalia ndoa ilimradi ipo, watoto wako poa, mambo ya msingi tunashirikiana. Hayo mambo ya mimi kumpenda au yeye kunipenda hayana nafasi.
Ngalikihinja said: Kama komenti zako ndo hizi, basi we endelea kumegwa kisela... vipi kama vyooteee anavyovifanya huvipendi? Kuna ndoa/mapenzi hapo kweli...?? Click to expand... hakuna nikichukiacho wala nikipendacho mbona hunielewi. sina muda wa kuanza kuangalia sijui ananifurahisha na nini sijui ananiboa na nini? mimi naangalia ndoa ilimradi ipo, watoto wako poa, mambo ya msingi tunashirikiana. Hayo mambo ya mimi kumpenda au yeye kunipenda hayana nafasi.
Tysher JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 207 Reaction score 76 Jun 25, 2013 #27 Me ananikera kunikataza kuwa busy na simu
R royna JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 479 Reaction score 336 Jun 25, 2013 Thread starter #28 we Tysher unachekesha. yuko sahihi, unapaswa kumpa attention. Tysher said: Me ananikera kunikataza kuwa busy na simu Click to expand...
we Tysher unachekesha. yuko sahihi, unapaswa kumpa attention. Tysher said: Me ananikera kunikataza kuwa busy na simu Click to expand...
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Jun 25, 2013 #29 Mbona unataka tutoe siri za ndoani?
kemashafe Senior Member Joined Mar 25, 2013 Posts 138 Reaction score 59 Jun 27, 2013 #30 mmmmmmh napita tu