Kwa wanaume wasiopenda kuchunwa


na mbunye alipigwa na doctor. Chezea co wewe!!
 
sijakuelewa mkuu kwani wewe unatoa sh ngap?? yab\n hal ya maisha unasema 120 ni ndogo au na wewe ni gamba???

sasa hujaelewa nini? yaani wewe unataka ukamgaragaze mtoto wa watu, halafu umpe shs elfu tano.... si utumie revola tu sasa kama unaona kutoa pesa anayohitaji utapata hasara
 
akija na rafiki yake nampotezea najifanya nimepata emergency then nampa buku ya nauli na samahani nyingi then nasepa kama noma na iwe

:biggrin1: aisee umenipa idea nzuri sana ole wao wanifanyie huu mchezo tena
 
wengine wanajua kabisa umetumia condom lakini bado asisitiza ana mimba yako
ukimwambia umepima hospitali gani atakutajia jina hulijui
ukimwambia kuna docta wako umpelelke akapime anakuja na ishu nyingine
matangazo ya condoms hamyasikii
 
Hivi we matangazo yoooooote hayo ya kinga hujayasikia?
 
Hivi sijajua ni jukumu la nani kugharamia utoaji wa mimba? Mwanaume, mwanamke au nusu kwa nusu?
 
Sijakuelewa unamaanisha nini?
Do you support uchunaji?
At the same time ur worried with HIV prevalence..
Amua moja..

Namshukru Mungu haijawahi kuwa tabia yangu na wala sisapoti kuchunwa.Ila kama wanafuata watoto wadogo unatakaje na watoto wa siku hizi walivyo na tamaa?Akitaka kuchuma sharti apalilie.Halafu hii habari ni ya kweli kuna mkaka mwaka jana alinihadithi ye ameoa akatoka na bint wa chuo flani baada ya week 3 binti akadai laki 3 akatoe mimba anasema aliituma haraka manake mke wake aliwahi kumfumania akapasua vioo vya gari na tangu hapo hataki wanachuo.So ninasupport in the sense that watawadisciplne
 
Ni ujinga ku-doo bila kinga. Wacha aibiwe tu Kama hataki toa matumizi? Au anataka chovya bure?
 

mungu anatauasa juu ya kuua,kutoa mimba ni uuaji pia,mwanaume ukitoa pesa kwa ajili ya kutolea mimba jua umeshiriki katika kuua.
 
wanaume acheni ubahili 120,000 akienda kununua sabuni za kuogea, lotion na ped imeisha, akija mchafu mtasema lol mpendezeshe mtu wako, vilivyopendezeshwa ni hatari. hata kama unatumia condom umpe kama mpenzi sio kwasababu amekuruhusu kulala nae.
 
Mimi iliwahi kunikuta ila si kwa mwanafunzi. aliponiambia tu kuwa ni mjamzito nikamwambia twende hospitali tukapime ili apewe ushauri wa daktari akawa ananichenga mara hajapewa ruhusa, mara dada hana mtu wa kubaki nae visingizio vikawa vingi. nikimsisitiza twende hospitali ananichenga, ikafikia wakati akaniambia kuwa anataka kuitoa hiyo mimba nikamwambia asiitoe hadi hapo tutakapoenda kupima hospitali
Ila kiukweli kipindi naambiwa kuwa ni mjamzito vishilingi 50,000 vilikuwa vinakuwa vinanitoka kiulaini coz anadai alikuwa anadai kuwa anabagua vyakula ila mwezi mmoja baadae aliniambia kuwa hakua na mimba ila alitaka kunipima tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…