Kwa wanaume tu!

na hao wanaume wanasubiri wake zao wawanyoe hawana akili kabisa ungesubiri utawazwe pia. wanawake wana vitu vingapi vya kufanya? akipata nafasi its okay lakini sio kila kitu umwachie.

mie hata kama nina all the time in the world,bado sijamnyoa mtu mananihii yake!...let me be,nyumba ndogo,nyumba kubwa ama medium!..πŸ˜€πŸ˜€
 

ndio hapo napochoka nikisikia ya wanawake wengine...
upate tabu ya kusafisha machaka ya mtu,ukimaliza...anavaa mkaptura wake...huyooooooooooooo kwa MKEWE!!!!
mie ningemwambia huyo dada,afungue saloon...awe kinyozi...hii biashara iko bado dorminated na wanaume!..angejipatia wateja simply kwa kuwa kinyozi mwanamke!and since she doesnt mind..kusafisha machaka ya watu...i bet she could make a lot of money in this industry...πŸ˜€πŸ˜€

awewe mume wangu umerudi,kama kweli umenyolewa.....huo moto nitakaokupelekea...utaaaaaaajuuuuta kunifahamu!!😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…