Eeeh, kama wao ni wajanja, basi warudie tena.....wanaumeeeeinasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yaojamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili, kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!
unamlipia yule mmoja tu ulimwita wengine watajijua mwenyewe,unamwambia bado mapema hataki achape raba.
haswaa, tena kama hawana hela ya kutosha mbona watakoma
wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao
jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!
kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili,
kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?
kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!

kuna binti mmoja wa ustawi nilimualika pale Hongera nikamwamuita muhudumu amsikilize akaagiza Savanna dozen moja. wale sio watu.