KWA WANAUME PEKEE

Kwa sasaiv akisema ntampa na nauli ya kuondokea kabisaaaa.....na haichukui wiki nishakuwa na chombo kipya kwa nyumba.
 
mzee achana nae
hasa hasa kama umekula mzigo, tema kabisa yaani Tema ya herufi kubwa,

mimi ishanitokea mara kibao ua hata sreply tunabaki kuview status tu, na mi nshafanya mara kibao maana mpaka saivi sijajua ntamuoa nani
 
Nitaumia halafu nitazoea.
Nitamsahau kama wengine tu.
Nita move on!!
 
Kama mzigo nishakula sawa haita niuma sana ila nitamwambia ukikutana na mimi nikaushe kama unijui sihitaji mengine
 
Kwa sasa nitamwambia Byeee! Ila Asije nisumbua tena maana wakienda huko yakiwashinda wanataka kurudi aende jumla
 
Unapokea taarifa kiroho safi,japo maumivu yatabaki ndani kama kawaida yetu,lakini kutokana na maamuzi yake hayo usije lewa bange zako ukamtafuta tena,ww kausha japo miaka mitano hata ikitokea amekutext usijibu,wewe kausha endelea kutafuta pesa,
Hakika nakwambia ataumia yeye mwenyewe maana wengi wao huwa wanajaribu kuchezea koki,mwisho wa siku huishia kulowa tu
 
Badilisha heading uandike kwa wavulana pekee
 
Hahahaha hamna basi tu anajikuta katika kutafuta mwingine kapata Boeing sasa wewe uliyechukua McLaren ili umkomoe ndo inakuwa imekula kwako teh teh teh teh
Yakitokea hayo hiyo vita sio ya mapenzi tena Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…