Wanaume mkuje huku!
Hahaha hahaha hahahaMtoa mada amekosea kutuita wanaume kwenye hii mada --- Topic ina wafaa wavulana hii
Ndio wanaume muwasaidie wavulana namna ya kujua kuachika wakiachwa.Mtoa mada amekosea kutuita wanaume kwenye hii mada --- Topic ina wafaa wavulana hii
Hii si kwa wanaume tu, ni kwa wanaume wapumbavu tuikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je nini cha kufanya je ukiwa kama ndiye wewe umeambiwa hivyo utafanya nini hasa cha muhimu
Hahaha hahaha hahaha
Sema ukweli jamanii
Ajitahidi kuwa fisi lakini wa silent killer ila mbele ya jamii a-pretend kuwa ni innocent '...Akijifanya kuwa decent kwenye dunia hii atakufa mapema...Mafisi huwa wakiambiwa baby let's breakup --wana jibu --poa ''shortly hivyo yaaniNdio wanaume muwasaidie wavulana namna ya kujua kuachika wakiachwa.
Na wewe unaagiza brand new McLaren 570S.Habari zitamfikia tu.
Mapenzi sio vita,ikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je nini cha kufanya je ukiwa kama ndiye wewe umeambiwa hivyo utafanya nini hasa cha muhimu
Yakitokea hayo hiyo vita sio ya mapenzi tena Mkuu.mkuu wewe mwanaume utasema uagize gari McLaren 570S ila yeye mwanamke ataagiza ndege kabisa tena Boeing 777-300ER na wewe habari zitakufikia tu