jaman kuna mzingra mengne yanahatar
sana,tena ndan ya nchi hi hi.Kuna kijiji network
za mtandao yote ya cm inapatkana sehemu moja
2 ktk kjj kzma,tena n nyumban kwa mwenye.
ukienda hapo kupata huduma hyo n Tsh 500 kwa
kila cm unayopiga.mfano umeongea na mama
yako umekata unatoa 500,ukimpia mwingne tena
500. fkilia umepangwa huko itakuaje,fb au jf
itakuwepo?