Inategemea ni aina ipi ya uyoga, kuna uyoga inayoliwa (edible mushrooms) ambayo huoteshwa kwenye mashamba kama inavyoonekana kwenye hizo picha. Uyoga unao uogopa ni ule unaopatikana porini ambao upo tofauti kabisa.Naupenda sana uyoga but nauogopa,maana kuna mwingine una sumu