Kwa wanaohitaji Gps tracking device kwenye magari.

Hebu eleza vizuri kijana, hakuna gharama yoyote baada kufunga hiyo gps? Kwenye bajaji je hamuweki?
Ok unapofungiwa kifaa cha Gps kwa gharama hyo utakuwa unalipa 20000 kwa mwezi ila utachagua kulipa kwa miezi 3,6 au mwaka.
 
Ok unapofungiwa kifaa cha Gps kwa gharama hyo utakuwa unalipa 20000 kwa mwezi ila utachagua kulipa kwa miezi 3,6 au mwaka.
Nadhani bei bado ni kubwa sana hasa ukizingatia kuwa kila mwezi nitatakiwa kulipia.
 
Nahitaj kampuni inaweza kuwa chip ndogo za kuweka kwa computer for security
 
Unahita chip zinazo run task kama zipi mkuu kwenye computer toa mfano.
 
bro yan ndo inafanyaje fanyaje hiyo gps embu tuelezee kidogo kuna gari zina gps tunanunua mtumba na hatulipii hiyo ina nini had tulipie window phone zote gps bure embi tufafanulie
 
bro yan ndo inafanyaje fanyaje hiyo gps embu tuelezee kidogo kuna gari zina gps tunanunua mtumba na hatulipii hiyo ina nini had tulipie window phone zote gps bure embi tufafanulie
Mkuu hii ni Gps ambayo una install na kuioperate wewe mwenye ukihitaji kuona chombo chako kiko wap au kujua rout zote ambazo kimepita kwa muda husika.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…