Mzalendojr
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 174
- 46
Kweli tuwe makini sana,Magufuli yupo vizuri
Yupo vizuri sana na kila siku anazidi kugain. Lowasa anaendelea kudidimia kila uchwao
I always wondering...kuwa na mamvi baada ya kukatwa...agenda ya ufisadi kuisha...kutaka kuitoa ccm madarakani na kumrudisha mccm wa zamani...zero kujiunga na mccm mamvi..slaa na lipumba kumwaga mzigo...politics za kuona mfumo wa ccm mbovu na sio mfumo uliomweka mamvi cdm ndio mbovu......please give me a break...
CDM death is just around the corner
Umepotea njia wewe, viroba ulivotumia vinakusumbua.
ndugu wapenzi na wanachadema halisi na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamana,
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
Kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! Katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye angefaa kuongoza nchi? Ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula?
Kweli tunafikia sehemu kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm!! Hii haiingiii akilini! Huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! Ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! Bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.
Kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. Kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind.
Mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwaweka kando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
Jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi hiki! Tusiiombe wapate wanachotaka! Tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! Wao hawana chakupoteza! Ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! Tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo!
Kwao matusi wala sio issue! Kwao kuongopa wala sio issue! Tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
Wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.
Tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
Kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.
Kwa pamoja tunaweza:

Suwezi kuacha kuishabikia yanga kisa Amis Tambwe ni mamluki kutoka simba VIVA LOWASA VIVA.