Karibu sana ila siku hiyo kutakuwa na password.Mfano utwambie wewe miwa ulikuwa unalia kijiwe kipi.Hahaha.Vitu kama jumba la maendeleo,Manase lazima uvijue.Magari yetu yale ya aznu,safari master nk lazima uyajue barabara..ila karibu sanamama weeeeeeeeeee! sasa mm sijasoma secondary ila nimezaliwa mpwapwa! yayayayyayyay! nimefurahi sana kujuwa kuna watu wanaienzi mpwapwa! aisee itabidi nije tu maana niko Mwanza.
Jamani Mwl Itonya yupo?
....niliwahi kufanyakazi NBC, pale Mpwapwa ikiwa ni first appointment yangu....enzi hizo pale Mpwapwa sekondari, headmaster alikuwa ni Mwl Sabuni....Lakini pia kulikuwa na walimu kama Mwl Shauri, Mwl. Mnosa na wengineo....
...Mpwapwa ni ukweni kwangu....na miaka yangu yote hapo nilikuwa nikiishi Igovu....
ivi mpwapwa NBC iliwah kuepo pale kumbe!? Au ulimaanisha NMB!?

ilikuwepo na baada hapo wakabadirisha na kuita NMB walikuwa na gari zao,zikitoka kuchukua pesa za walimu unasikia kifilimbi kikipita na speed ya ajabu
....niliwahi kufanyakazi NBC, pale Mpwapwa ikiwa ni first appointment yangu....enzi hizo pale Mpwapwa sekondari, headmaster alikuwa ni Mwl Sabuni....Lakini pia kulikuwa na walimu kama Mwl Shauri, Mwl. Mnosa na wengineo....
...Mpwapwa ni ukweni kwangu....na miaka yangu yote hapo nilikuwa nikiishi Igovu....
ivi mpwapwa NBC iliwah kuepo pale kumbe!? Au ulimaanisha NMB!?
Kabla ya kuwa NMB ilijulikana kama NBC. Hiyo NMB ilianza 1997, Kabla ya hapo haikuwepo NMB.
Kipindi hicho tulikula maisha kisawa-sawa. Duu, kwa kweli tuli-enjoy "mbayaaa" maana miaka hiyo ya early 90's tulianza ma-janki kama 6 hivi na sister duu 1. Enzi zile DC, alikuwa ni Baby Mawani!!!!ilikuwepo na baada hapo wakabadirisha na kuita NMB walikuwa na gari zao,zikitoka kuchukua pesa za walimu unasikia kifilimbi kikipita na speed ya ajabu
umenikumbusha ule mbuyu ktk nembo ya mp sec,mzee mazengo pairoti aliyeacha kazi hiyo kwa matatizo ya macho enzi hizo akiwa ndio mkuu wa shule,pembeni namwona bwana pima m/kiti wa ccm wilaya mp,mama pima naye kwa kimombo we acha tu,
kulikuwa na jembe moja pale mp ni soo,nimelisahau jina,likionekana tu tayari mjiandae kupigwa fimbo kwa mtindo wa chuma mboga,pale njiani karibu na kiwanja cha mpira namwona mzee wa majigambo,mzee wa kilimo huwa achani nywele zake na hana staha kabisa hamwogopi yeyote yule,kuna kifaa kilikuwa kinatema ngeli nzito sana nasikia kwa sasa ni mkuu wa shule huko pwaga
kitambo sana maeneo hayo