Inaonekana siku hizi vijana hamna kusocialize kabisa
mtu akiwa na simu kila kitu analeta huku ... problems nyingine unaweza kusaidiana na wanafunzi wenzio
we ushaona mtu wa PhD au Msc anakuja hapa na maswali kama hayo?
Learn to socialize bila mobile handset yako kwanza
achana na FB,TWTR na JF