HABARI ZA JIONI NDUGU ZANGU?
Wale walioguswa na mgomo wa madaktari poleni sana.
jamani hivi mnapokuwa chumbani na mke/mume wako na mnataka mfanya mambo yetu ni nani huwa anaanza kumchokoza/kumwwambia mwenzake kuwa anamuhitaji? je, ikitokea umemwambia au kumchokoza halafu haelekei kukubali unafanyaje?
kwa ufupi unaanzaanza vipi hadi ujue mwenzako anauhitaji kama wewe ili muwe compatible.