M miksel Member Joined Jan 5, 2011 Posts 63 Reaction score 6 Jul 12, 2016 #1 Wakuu tungependa kufahamu kwa waliokosea kujaza hizi form za mkopo. Kama mimi nimekosea kujaza kata itakuaje hiyo?
Wakuu tungependa kufahamu kwa waliokosea kujaza hizi form za mkopo. Kama mimi nimekosea kujaza kata itakuaje hiyo?
avi.JNR Senior Member Joined Nov 17, 2015 Posts 139 Reaction score 87 Jul 12, 2016 #2 Hajahainisha umekoseaje au umekosea wapi ..tutakupaje ushauri Dogo?
Bushloiaz JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 902 Reaction score 1,211 Jul 12, 2016 #3 avi.JNR said: Hajahainisha umekoseaje au umekosea wapi ..tutakupaje ushauri Dogo? Click to expand... Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo?
avi.JNR said: Hajahainisha umekoseaje au umekosea wapi ..tutakupaje ushauri Dogo? Click to expand... Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo?
avi.JNR Senior Member Joined Nov 17, 2015 Posts 139 Reaction score 87 Jul 12, 2016 #4 Bushloiaz said: Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo? Click to expand... Lakini unakoseaje chuo ? Wakati ukiweka Reg no za chuo inaleta matokeo yake kutoka NACTE? ANYWAYS sjaelewa ..maana kwa chuo ni hivyo
Bushloiaz said: Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo? Click to expand... Lakini unakoseaje chuo ? Wakati ukiweka Reg no za chuo inaleta matokeo yake kutoka NACTE? ANYWAYS sjaelewa ..maana kwa chuo ni hivyo
Rabiel Senior Member Joined Jul 20, 2013 Posts 197 Reaction score 40 Jul 12, 2016 #5 andka barua ambatanisha ukielezea tatzo lako.
MAKAMBARANI Member Joined Jun 25, 2016 Posts 66 Reaction score 18 Jul 13, 2016 #6 Kwa wanaomaliza diploma mwezi huu mwishoni,watakuwa na uwezekano wa kuomba mkopo
Mpambalachuma JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 362 Reaction score 44 Jul 13, 2016 #7 MAKAMBARANI said: Kwa wanaomaliza diploma mwezi huu mwishoni,watakuwa na uwezekano wa kuomba mkopo Click to expand... Omba faster, mim mwaka jana niliomba mkopo Kwa kutumia provisional results za diploma maana nilikua sijamaliza chuo, nikapata mkopo.
MAKAMBARANI said: Kwa wanaomaliza diploma mwezi huu mwishoni,watakuwa na uwezekano wa kuomba mkopo Click to expand... Omba faster, mim mwaka jana niliomba mkopo Kwa kutumia provisional results za diploma maana nilikua sijamaliza chuo, nikapata mkopo.