whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,438
Ni mpaka utumie registry editorNimejitahidi kuitafuta option ya small taskbar icons nimeikosa.
Nimeinstall kwenye kompyuta ambayo sina matumizi nayo kwa sana. Nikipata wasaa mzuri nitafuatilia ila kwa haraka haraka naiona kama ni nyepesi zaidi kuliko windows 10 kwenye matumizi ya kawaida.
Iyo alder lake ni intel?Win 11 bado haijaisha, ndio kwanza sasa hivi tumepokea support ya Android insider. Imezinduliwa haraka haraka sababu ya processor mpya zinazokuja kama Alder Lake zina core/thread nyingi sana nyengine zinafika hadi 20 hivyo win 10 haina uwezo huo.
Wame update core ya win 11 kuhandle hayo mambo, wamezindua haraka ili iendane na uzinduzi wa intel Then feature mdogo mdogo zinawekwa.
Kama una mambo yako muhimu subiria subiria kwanza.
Ndio mkuu generation ya 12
Washa kwenye safe mode au tumia livecd ya hirens au ya Ubuntu au linux yoyoteNisaidieni nime install windows 11 sk mbili zilizopita mara leo imepotea ghafla.
Laptop inawaka ila siwezi kufungua chochote na mafaili hayaonekani...
Haikuwa inafunguka kabisa kutoa option yoyote.Washa kwenye safe mode au tumia livecd ya hirens au ya Ubuntu au linux yoyote
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
True kabisaWin 11 bado haijaisha, ndio kwanza sasa hivi tumepokea support ya Android insider. Imezinduliwa haraka haraka sababu ya processor mpya zinazokuja kama Alder Lake zina core/thread nyingi sana nyengine zinafika hadi 20 hivyo win 10 haina uwezo huo.
Wame update core ya win 11 kuhandle hayo mambo, wamezindua haraka ili iendane na uzinduzi wa intel Then feature mdogo mdogo zinawekwa.
Kama una mambo yako muhimu subiria subiria kwanza.