Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Umenikumbusha kwetu Karagwe Wanyambo tunapenda sana hizi, lakini nina miaka zaidi ya 20 tangu nizionje da. Unajua tukienda mara nyingi tunakuwa na muda mfupi kukumbuka mambo mengi sana yakiwemo hayo matunda
mtoto wangu una visa weye?? ngoja niende kwetu itahwa mwezi june madhani mvua itakuwa imeisha
ulikuwa umeenda kuoa nini mkuu....
karibu sana Moshi.....
Preta ndugu yangu si uko Leaders? au unaondoka na pipa baada ya Mazishi? Nakukubali kwenye updates unazotupa madam. Hakuna Harusi hapo bali ni pasaka ya pili majirani tuliamua kupikia sehemu moja na kupiga mtungi basi.
mkuu....dunia kijiji siku hizi........
Big up viongozi
Du kyoma! umenikumbusha mbali nimemiss vitu hvyoView attachment 51442
Saa ya kula lazima ukunje miguu kisha unakaa kwenye nyasi. Huyo jamaa sijui anaomba mchuzi!!! kwa kweli
yaani umenitamanisha matoke mie jamani.