Kwa walio chaguliwa Ardhi university.

David singo

Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Kwanza kabisa nawakaribisha chuo kikuu cha ARDHI. Aminini mmechagua sehemu sahihi ambayo wachache hupata fursa.
Lakini chuoni kuna uhaba wa malazi,unapokuja kichwani uwe unajua hilo.na huenda wiki ijayo wakafanya allocation ya vyumba Kwa wanafunzi. So kama unataman kukaaa ndani hostel za chuo ntumie jina lako na cozi uliyopewa, nkuombee chuoni kupitia uongozi wa wanafunzi,
Angalizo hakuna malipo yeyote utakayo Nilipa ,nawasaidia tu wadogo Zungu(hata mm nlipata chumba kupitia humu) msipate shida mkija chuo Kwan nafasi ni chache Sana.
0718603271
0763862192
KARIBU CHUO KIKUU ARDHI.
 
Sio chuo kikuu cha ardhi.. Ni chuo kikuu Ardhi
 
Wewe kama Nani .??
haya maajabu ya duniaa yani mwanafunzi hostel aje kuombea kwako.
Wacha utapeli bwa mdogo
 
Mbaya zaidi umejiunga jana tu. ..
Ndugu zangu first year kuweni makini sana hiki kipindi mtatapeliwa na wale dada zetu mtavuliwa chupi ovyo ovyo. .
kitu chochote kuhusu chuo utakipata chuoni sio humu JF lbda ushauri tu
 
rafiki sio lazima akifika chuoni atajionea mwenyewe chuoni kupata nafasi ya chumba si rahisi Kama unavyodhani
 
Wewe kama Nani .??
haya maajabu ya duniaa yani mwanafunzi hostel aje kuombea kwako.
Wacha utapeli bwa mdogo
Si mm napanga ninachofanya napendekeza jina ili apangiwe free of charge wala siitaji anijue au nimjue, ni kwa faida yake, ili kuamini ninachosema mtafute mwanafunz WA Ardhi yeyote atakujuza vizuri, tuache ushabiki wa mitandao
 
Mbaya zaidi umejiunga jana tu. ..
Ndugu zangu first year kuweni makini sana hiki kipindi mtatapeliwa na wale dada zetu mtavuliwa chupi ovyo ovyo. .
kitu chochote kuhusu chuo utakipata chuoni sio humu JF lbda ushauri tu
Haina Shida kama mawazo yako ni hayo, lakini lengo ni kusaidia na Kwa wanafunz kipindi cha orientation tutakuwa na banda chuoni kwa ajili ya kusaidia kufanya usajili bureeeeee kabisa. Taasisi ya kidini.mtajua mkifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…