Kwa wale wapenzi wa kitimoto, ona roast ya kitimoto hapo

We jamaa ni muislamu safi sana! Ni muislamu anayeijua dini yake na asiyeendeshwa na hisia bali fact!

Nilikuona hata kwenye uzi ule wa Thomas Aquinas jinsi ulivyokuwa ukimjibu yule muislamu mwingine!!

Nakukubali sana mkuu, Salute!
Huyu jamaa kakulia outside ndo maana hana ushamba
 
Bila samahani mkuu....

1.Kuombeana DUA isiyo na vitendo vya swala(maombi) ukiwa peke yako kumuombea mwingine(dini yoyote)asiyekuwepo ama yupo ulipo hakukatazwi na DINI....

2.Kuswali kivitendo hapana hakuruhusiwi...kwani suala la SWALA lina kanuni na TARATIBU zake...mfano SHAHADA kwa Allah na Mtume Muhammad(s.a.w),kutawadha(kiutaratibu),kuelekea kibla na kuyajua maneno USEMAYO...Sasa niambie mh.Mwakyembe aliswali swala ya kipindi gani?alfajiri ama usiku(ishaa)?
Laa kama alijumuika kumswalia marehemu wa kiislam basi tungejua ALIFUATA KANUNI ya swala hiyo ya marehemu(salat ul janaiz) kwani pamoja na kuwa ndani yake kuna DUA ila kuna VITENDO....

3.Hakuna katika utaratibu wa kiislam kuwa tunaombeana kwa jina la YESU japo kwetu ni mtume mtukufu...na si YESU tu bali hata Ibrahim Yakubu na Isihaka...

4.Kuhusu misikiti kujengwa kwa fedha za wasio waislam...hilo haliko...kwani kuna AYA inasema "wanaoimarisha misikiti ni wale waliomkiri Mungu Mmoja na mtume wake Muhammad".Sasa ikitokea WATU WAMEWIWA kuwachangia waislam KUJENGA misikiti ambayo wao hawafanyi ibada ndani yake huwa ni muhali kidini...laa kisiasa kiutawala na kijamii HILO NI SAWA....

Kwa hiyo mh.Makonda kuombewa DUA na masheikh wangu ni SAWA...kwani nami huwa ninamuombea kama rafiki nimpendae....


N.B Mkuu refer comments zangu huko juu,nimefafanua ni yepi yaitwayo IBADAT(Ibada) na MIAMALAT(miamala).


Mkuu humu duniani mambo mengi YANABADILISHWA... si tu yahusuyo uislam bali hata dini nyingine....wenye PESA wanaweza KUFANYA lolote na viongozi wa DINI wakapiga makofi na kuwaweka katika VITI VYA MBELE ama NAFASI ZA MBELE...

Ok mkuu wangu.

Be blessed!!
 
Mungu hakukosea kuumba warembo hawa wawili wafaao kwa mlo.
1. Mwanamke
2. Kitimoto
 
😂😂 mimi pia aisee, huyu mzee akiongea ni kama kajazwa upepo na anakaribia kupasuka....ni kukaza maneno, mdomo mwili na macho. So hiyo avatar imemuakisi vizur sana
 
Umetisha mkuu 😀😀😀
 
Tanga inapatikana pande zp
Nenda majani mapana

Karibu kabisa na kituo Cha kupoozea umeme Cha tanesco yaani opposite Kuna nyumba Kama Kota hivi iko upande wa kulia ikitokea barabara ya kange .

Au Saba Saba bar za mule huwa wanapika kitimoto

Sema TAnga bhana watu wengi walaji kule vibarakashia wametawala mkoa .
 
Mmenikumbusha pale MiBS sema ukifika unasubiria mpaka njaa na hamu inakata kabisa.
Sijui ndio wanachinjaga tukifika.
 
Nimemiss ya makange 🤤🤤
Itabidi niibuke zangu kwa temba this weekend
 
Nilikua na demu wangu m1 hiv tulikua tukikaa tunaagiza kilo mbili tunaipiga had inaisha nyingne anafunga tunaenda ilia lodge au geto kwangu,,enz za chuo hzo..mitaa flan nyuma ya mabibo hostel pale
 
Punguza ujinga hizo wewe 😂😂😂😂
 
dah had mate yamenitoka😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…