Unaruhusiwa kuhama mapema kabla ya semister ya kwanza haijafka hata robo la cvyo utahama kwa kuanza upya. Mi mwenyw nlihama ila ndan ya wk moja baada ya kuingia clac.
Unaweza kuhama ila ufanye haraka kabla ya mambo kuanza
usirudie kuomba kozi ambayo huna mpango nayo
Kwel yan unaingilia koz yeyote then unabadil ..ukikaria kukomaa Mara ooo ndoto yang..utasugua bench mwaka mzima kitaa mpaka mwenyew utashangaa..hii ndo tzzzAsante sana ndugu! kweli kabisa lakini si unajuwa mfumo Wa mwaka huu inabidi uaangalie kozi yoyote hata ya kuingilia chuo Fulani vinginevyo hata chuo haupati
Kwel yan unaingilia koz yeyote then unabadil ..ukikaria kukomaa Mara ooo ndoto yang..utasugua bench mwaka mzima kitaa mpaka mwenyew utashangaa..hii ndo tzzz
Yah inawezekana ila utaratibu bado cjaujua so km vp nenda chuoni utapewa utaratibu wa kuhama, ila km una mkopo basi watasitisha kwa siku 90 wkt taarifa zako zikihamishiwa kweny chuo unachohamiaHiv kuna uezekano wa kuhama chuo kutoka chuo kingne ulichopangiwa kuja SUA na Utaratibu upoje kwa anaejua
Hahaha na angalizo juuUnaweza kuhama ila ufanye haraka kabla ya mambo kuanza
usirudie kuomba kozi ambayo huna mpango nayo
Mmmh kwani anahama chuo au course?Yah inawezekana ila utaratibu bado cjaujua so km vp nenda chuoni utapewa utaratibu wa kuhama, ila km una mkopo basi watasitisha kwa siku 90 wkt taarifa zako zikihamishiwa kweny chuo unachohamia