Kwa wale tutakaochaguliwa UDSM

Yorke

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
236
Reaction score
260
Wale ambao tunatarajia kuchakuliwa UDSM bachelor kwa mwaka wa masomo 2017/2018 njooni tujuzane changamoto tutakazo pitia tukiwa chuoni
 
matokeo bado ila mshajipangia vyuo au wewe umeomba kimoja
 
*****....
Nasubiri ingizo jipya la First year hapa Coet nivibanjue vitoto vya CPE
Uzuri nishakua Assistant Lecturer.
Nimepewa Course ya kufundisha.
 
*****....
Nasubiri ingizo jipya la First year hapa Coet nivibanjue vitoto vya CPE
Uzuri nishakua Assistant Lecturer.
Nimepewa Course ya kufundisha.
Mkuu na CPE ndo wanaongoza kwa watto wazuri Coet nzima. .
Sema wanaringa balaa.
 
basi hayo ndo muyawazayo yaan mjue kuna mawili yakuondoka nayo kwa me_ukimwi na kufeli na kwa ke_mimba na ukimwi na kufeli pia chaguo ni lako
 
Acheni Kiherehere Mnadhani Kuna Group La Chuo Kule. Kungekua Na Hiyo Haja Ungeshakuta Group Humu Dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…