nilikua namwonea huruma imechukua miezi 6 sasa nampiga chini nimejaribu kumvumilia hapana tena.anazo Id kama tatu humuπ―Mtoto wa kiume unaandika mipasho????... Haya huyo mwanamke wako yupo humu???
Aiseeeeeeenilikua namwonea huruma imechukua miezi 6 sasa nampiga chini nimejaribu kumvumilia hapana tena.anazo Id kama tatu humu[emoji54]
Wanawake wanaojipendekeza noma sana nilikua nawakataa wengi huyu nikampa chance ananiona remote na anarusha matangazo kama cloudsfm nimeona hana faida hata moja ameniharibia CV na ridhiki yangu kwa demu mwingine nasubiri Hall itulie nimfate yule tunayeviziana wote mwenye birian ya ngamia
My Man. No time to waste. Uko wapi upige bia za kutosha. Gharama za kwanguAkizima side A una- switch side B .