Kwa wadada ishakutokea hii

Uwii tooth pick! !!! jamani mbona hatareee ya mwili
 
Yan ndo umeamua kuja kuniaka humu kabisa baby halfu kumbe unanikimbia kisa ni hicho tu si bora ungeniambia tu
Kwa nn ww hujisemi na hilo limtaro lako km bwawa la mtera .
Kwa taarifa yako yangu huwa inaumuka sivyo kama unavyoiona ndo ujue sasa ...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan ndo umeamua kuja kuniaka humu kabisa baby halfu kumbe unanikimbia kisa ni hicho tu si bora ungeniambia tu
Kwa nn ww hujisemi na hilo limtaro lako km bwawa la mtera .
Kwa taarifa yako yangu huwa inaumuka sivyo kama unavyoiona ndo ujue sasa ...
Kama haikuumuka toka mko disco itaumka chumbani
kwa unawekaga amira?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mama Sabrina naona huu mwez umetuandama. Kwani tumekukosea nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…