Kwa wadada ishakutokea hii

Hongera kwa kulijua hilo wenzio wanahonga huko nje kuliko hata wake zao, yuko radhi ampe mchepuko mihela kuliko hata msaada kwa mkewe anamwambia sijaoa ukoo [emoji106] [emoji106]


We unasema mkewe? Wanaume wenzetu wengine hata wenyewe hawajikumbuki. Kuna mshkaji kutwa kujisifia anawalamba mademu wakali kumbe machangudoa wa town tu. Ye mwenyewe domo linanuka hatari, mi namwangaliaa, nawaza hizo hela si bora atafute Dentist lakini wapi. Ushamba mzigo.
 
Hahahahahaaahajahaaaaa daaah nmesoma mara 2 nmeshndwa kuimagine jins dada huyu anavyo lalamika hahahahaaaa lol mbavu zang mm by the way ungemchukulia tuu nae jins alivyo n mpango wa Mungu usimlaum kwakua hakuna aliyejiumba au alitaman angeumbwa /kuzaliwa na hal flan ndo maana wengine husema unavyo dhan ndivyo sivyo!!!! Pole kwa mkasa huo
 
Duh! Nasikia mozigo pia mnaihofia kwa kutaka kutunza nanilii....[emoji12] [emoji12]
 
Mashine inapimwa ikiwa imesimama na so vinginevyo.Ulitakiwa umpe nafasi uone mziki.
 
Wakati mwingine sio kibamia tu! bali kisima kimezidi upana [emoji26]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani huyo akili yake ndiyo imeshia hapo unakuta yeye na mkewe kachumba na sebule mchepuko nyumba nzima wazazi tuzae tu kusafisha matumbo tusionekana wagumba
 
Unaweza lia mazee,2008,nilukua,Zambia, ndugu YANGU,alipenda sana kuja bathroom nikioga kuangalia machine yangu sikujua kwann ,siku ya kuona mashine yake ,nikakumbuka,anavyotoswa,nikajua hapa sababu ndyo hyo hata kakisimama hakaeleweki,huruma
 
Tumalizie kwa kusema,mwanaume mashine buana,
pesa inatafutwa.Ukiwa na dude la inch 6(kasia)
unapasua mawimbi ya kila namna bila kujali
ni bahari ya hindi au mto kagera.
Yangu ni inch 7 na cm 12. Hapo vipi .
 
Wanawake wanajijua wenyewe tu
.
Ulipenda nn si ungemwambia aingize mguu
 
Tatizo lenu mnapenda sana kutombana haya mambo ya vibamia mabwawa ayakuwa before
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…