Kwa wadada ishakutokea hii

Unazani ukiambiwa naumia ndiyo umemfikisha unajidanganya mkuu wakati mwingine huwa ni janja ya nyani ili ukamuliwe vizuri kama ng'ombe anavyolishwa mashudu huku maziwa yanakamuliwa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hakuna wa kunikamua zaidi ya buku 5 hata uweke menyu ya matatizo,mademu wenyewe ni cheap siku hizi labda hao wa college mnaochukua nyie
 
Hakuna wa kunikamua zaidi ya buku 5 hata uweke menyu ya matatizo,mademu wenyewe ni cheap siku hizi labda hao wa college mnaochukua nyie
Ni shidaaa haaa haaa kwahiyo wewe mkono wa birika au keyboard inaongea usinichekeshe
 
Haaaaa haaaaa....

Wee Ma Sabrina mbona unaua hivyo jomonii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ndugu yagu kila nikisoma comment yako nakufa kucheka jamani JF hakuishi vimbwanga .
 
tena anajitapa hatari, Oooh mie nikikuonjesha mara moja tu huwezi kuniacha, basi anakutia hamuuuu ya kuonja hiyo dushe kumbe haina hata uwezo wa kusoma mnara vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kama unatoa hukumu hivi ukizaliwa mrefu unaweza kujibadilisha ukawa mfupi, nionavyo mimi maumbile ukizaliwa nayo, labda kama muumbaji alikosea
 
Hongera kwa kulijua hilo wenzio wanahonga huko nje kuliko hata wake zao, yuko radhi ampe mchepuko mihela kuliko hata msaada kwa mkewe anamwambia sijaoa ukoo [emoji106] [emoji106]
Ndo hivyo tena watu tunatofautiana kwenye mambo mengi,utashi wao ndo umewatuma acha wahonge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…