Kwa wadada ishakutokea hii

Waeleze kazi kutembeza mabuwa yao wanatudhalilisha wake zao tukienda saloon makahaba wao wanavyo hadithiana jamani wengine sekunde 8 hoi halafu akitoka hapo anaenda kumtambia mkewe nitaoa mke mwingine kama unanisumbua haaa haaaa
Wanasahau hao wake zao ndio wanaowasitiri
 
kwani zile dawa za kuongeza maumbile hazifanyi kazi? hamna ziliyemsaidia atupe ushuhuda..tuzinunue kwa wingi
 
Nilijua huyo jamaa ndo alikuja kuishia kuwa ndo baba Sabrina mwenyewe..
 
Aiseee jf uwezi toka kapa hahaha[emoji106] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Duh! Imebidi nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli size matters!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mangi alipiga selfie...
 
kwani zile dawa za kuongeza maumbile hazifanyi kazi? hamna ziliyemsaidia atupe ushuhuda..tuzinunue kwa wingi
Mh! Sijawahi sikia hii mambo ikithibitishwa. Nadhani huwa ni stories tu wajanja wa mjini kujitafutia kipato cha kuwaweka mjini. Maana mjini akili mingi. Lkn sijawahi sikia mtu akitoa mrejesho kuwa dawa ya kuongeza maumbile ya kiume imemsaidia.
 

Kibamia = No Tezi Dume + No Kisukari
Asante kwa kutupa moyo.
 
Hataree,wanaume tafuteni pesa mkisikiliza porojo za wanawake mtaharibikiwa kisaikolojia,k...ma ziko size tofauti tofauti kama mihogo so tafuta inayokufaa,mm nikikuta sinia huwa sirudii tena ila izuri kibamia changu huwa ni kirefu so huwa nachomekeza hadi kwenye kizazi hadi anaumia
 
ha ha ha ha ha! usiombe ukutane na ndefu halafu nyembamba, kitu size ya kati nene nene kidogo
 
Kibamia = No Tezi Dume + No Kisukari
Asante kwa kutupa moyo.
sio maana hiyo, vibamia na vyote hivyo, vyote ukipata matatizo umepata. central point hapa ni kwamba, ukioa au kuolewa kufuata ngono, utadondokea pua. ndoa sio ngono tu kuna maisha mengine mengi zaidi ya ngono. kama ndoa ingekuwa ngono peke yake, watu wasingeishi kama unavyofikiri. asilimia 50 ya wanandoa wote huanza vizuri, lakini nusu inayobaki hupata matatizo njiani na mtu ataishi na tatizo hilo hadi anakufa, hivyo kama wewe ni mume au mke wake, itabidi ulihudumie hilo tatizo hadi mzeeke mfe. ndoa ni upendo, ndoa ni kusaidiana, ndoa ni kutafuta watoto pamoja, ndoa ni kusomesha watoto, ndoa ni kujenga nyumba, ndoa ni kutafuta utajiri, ndoa ni kufarijiana, ndoa ni kupangusana mimmavi ukiugua hata kidole hakinyanyuki mwenzio akupeleke choooni akutawaze huko nyuma kwako huko, ndoa ni kushika matapishi ya mwenzako kwa upendo pindi anapoumwa hajiwezi kabisa, ni kupambana pamoja. ni kuwa umemtafuta na kumpata companion wa maisha mtakayesaidiana kupambana na maisha ya hapa duniani. ngono ni kitu kidogo sana, ndio maana kuna wana ndoa wanalala pamoja lakini muda wa kufanya ngono wiki nzima hawajapata....ni kwasababu vichwa vimechoka, stresss, matatizo lukiki hata hamu ya tendo haipo, na kinachohitajika pale sio ngono, ni kutiana moyo, kufarijiana na kupambana na hali iliyopo kwanza ndio ngozi zije baadaye....kwenu ninyi watoto wadogo ndio mnaamini ndoa ni ngono tu. akili zenu zipo makalioni.
 

Hivi ndoa ni nini? hayo yote siwezi yapata kwa mpenzi wangu wa ukweli kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…