mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 768
Hatari lakini salama wanawake tunahangaika.Good morning jf.....
Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao wanatamani kupainua inua kuvutia utalii wa ndani na wa nje.
Leo nimejisikia tu kuwashauri watumiaji wa hii kitu
View attachment 428643
Sponge au vigodoro, asee hii kitu haiwapendezi hata kidogo, kuna dada majuzi kwenye sherehe alikuwa kavaa kigodoro alikua ni kituko yani nadhani akili yake ilikua inamwambia huku nyuma ana kakitonga flani hivi ila mmmh yani kigauni cha mpira anaonekana kabisa kavaa sponge vitako vimekaa vibaya
Mwingine nae mara upande moja liko juu upande mwingine lipo chini.
Nawashauri kwanini msitumie hii
View attachment 428648
Nahisi ukiivaa unakua comfortable, tako linakaa vizuri na linanyanyuliwa tu hakutakua na moja juu jingine chini.
Ni hivo tu.
Pitapita kariakoo yamejaa kibao yanauzwa ndio utaamini.Pole kwa kutoamini
Wataalam wameshalala maabara ndio wakaleta silicone injection kwa mwenye kupenda ya kudumu.Kwani hakuna misosi ya kula nakuinua kitonga,nahis wataalam wakalale maabara hapa kunafursa ...
Hiyo ndo ile ya kuongezewa mafuta kwenye makalio na nyonyoz?Wataalam wameshalala maabara ndio wakaleta silicone injection kwa mwenye kupenda ya kudumu.
kama ya muda mfupi ndio hivyo vigodoro vya kuvaa na kuvaa.
Ha ha ha ha ha ha hahivi vigodoro wadada wanakoseaga sehemu moja tu..mie naviuza vina size na size! sasa ujikute wewe una umbo la betina alafu ununue la zena lazima uchemke!!! Vitako vitakaa juu chini kama mbuzi wa hitma!!! hahah..aisee Evelyn salt usiniaharibie biashara nitawakosa wateja tehteh
Sasa si bora angekua akifika anavua fasta fasta kabla hujamuona ha ha haDah! Umenikumbusha mbali aiseee! Kuna mdada mmoja hivi alikuwa anaishi Sinza kila tukienda lodge kugegedana kila nikitaka kumvua anakataa kata kataa...yan! Nikisema ning'ang'anize nimuvue ghafla ana change na kugairi mgegedo. Na km tumekumbatiana nikitaka kugusa makalio fasta mikono yang anaidaka. Kuvua na kuvaa alikuwa akienda chooni. Ss ck ya cku alikuja kuumbuka vibaya dah! I cnt 4 get hadi Kuniangalia usoni akawa anaona aibu...aseee..!!
😀😀😀😀unakuta vvitako ka skonsi, ptuu
Nahitaji hii kitu aisee....nicheck pm tufanye businessGood morning jf.....
Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao wanatamani kupainua inua kuvutia utalii wa ndani na wa nje.
Leo nimejisikia tu kuwashauri watumiaji wa hii kitu
View attachment 428643
Sponge au vigodoro, asee hii kitu haiwapendezi hata kidogo, kuna dada majuzi kwenye sherehe alikuwa kavaa kigodoro alikua ni kituko yani nadhani akili yake ilikua inamwambia huku nyuma ana kakitonga flani hivi ila mmmh yani kigauni cha mpira anaonekana kabisa kavaa sponge vitako vimekaa vibaya
Mwingine nae mara upande moja liko juu upande mwingine lipo chini.
Nawashauri kwanini msitumie hii
View attachment 428648
Nahisi ukiivaa unakua comfortable, tako linakaa vizuri na linanyanyuliwa tu hakutakua na moja juu jingine chini.
Ni hivo tu.
kwa mtindo huu, sitaacha kula tigo.Good morning jf.....

Ina uhusiano gani na nilichoandika?kwa mtindo huu, sitaacha kula tigo.
Hahaaaaa mi yangu siyapendi ngoja nikupunguzieLeo nina safari ya kariakoo naenda kutafuta kengine haka niliko nako kameanza kuchakaa.Mie nitaendelea tu kuvaa labda kama wanaume waache kuyapenda
Ndio hiyo wanachoma kwenye makalio na matiti.Hiyo ndo ile ya kuongezewa mafuta kwenye makalio na nyonyoz?
Wabongo hawajaijua nini make hospital kungefurika au ni gharama hawawezi ha ha ha ha haNdio hiyo wanachoma kwenye makalio na matiti.
Kwa kuongezea, watatembezwa nusu uchi wanaoolewa ni wavaa madela.Hivi ninyi wanawake nani kawaambia michura yenu inapendwa sa-a-na? Hamjui wanaume wanawasanifu wapige hit and run waishie? Ukitaka kujua ndio hivyo angalia bibi harusi. Ni wachache sana wenye miwowowo lakini ndio waliopendwa mpaka kuolewa
Kweli aliyevaa bikini anapotembea haigusi na kusugua ... ikaamsha ashiki!!!Sina uhakika ila nadhani inakua kama bikini tu, bikini haileti kero
Sio kila anaetaka mwonekano wa tofauti ni kwa ajili ya mwanaumeKwa kuongezea, watatembezwa nusu uchi wanaoolewa ni wavaa madela.
Kina dada endeleeni na kujirembesha kwa viungo bandia mtaolewa siku moja na kuachika siku hiyohiyo (hit and run).
Lakini ukweli mwapendeza mbele ya wanawake wenzenu na kuwachochea wivu ila mbele ya wanaume ni "sexy items" tu.
WANAWAKE WAJITAMBUE SASA UMBILE LA MUNGU NDIYO HAKI YAKO