Naomba mawasiliano na chama chenu, ninataka kugombea Ubunge jimbo la kawe, but for the mean time naomba niweze wasiliana na nyinyi ili niweze pata membership na pia kuweza kujihusisha full time na operations zenu hapa Dar es salaam, ili tuweze saidiana jinsi ya kujenga na kukiimalisha chama kisonge mbele zaid, mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote tanzania ila nimekua nikijihusisha na kufatilia siasa kwa muda behind the camera, na ninafikiri sasa its high time niingie mzima mzima kwenye siasa na nimekua na this feeling kuhusu hiki chama cha ACT kwamba kinaweza make it big time, kama tukiweza kushirikiana kwa pamoja bila migawanyiko, na kwakupitia mistakes ambazo zimekwisha fanywa na vyama vingine nafikiri tunaweza capitalize na kuwa mafanikio so please naomba tuwasiliane ilituanze chukua majimbo mapema
Mawasiliano PM.
nawasilisha.
Mkuu,
Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.
sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!
Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
Mkuu, ndio maana nikasema inawezekana una nia nzuri tu lakini ni kosa kubwa sana kujiunga na chama cha siasa eti tu kwa kuwa unataka uongozi fulani (hata kama unataka nafasi hiyo ya uongozi ki roho safi tu). Nasema hivyo kwa sababu kama utajiunga na chama kwa sababu hiyo halafu ikatokea hujapata uongozi , maana yake hutokuwa na sababu tena ya kusimamia misingi ya chama chenyewe kitu ambacho ni tatizo kimsingi.Vile vile ukijiunga kwa sababu hiyo, maana yake ni kwamba hata katika kura za maoni itabidi usimame peke yako kitu ambacho ni kinyume na misingi ya demokrasia.Kwa hiyo wewe unapoamua kujiunga na chama; jiunge tu halafu kupata uongozi itakuwa ni matokeo.kwanza mkuu mimi ni mkazi wa huku kawe sasa kuna vitu nafikiri nataka nirekebishe kwa kutumia uwezo wangu utashi na akili zangu, sasa sitaki nianze kumtuhumu miss mdee ndio maana nimeamua na mimi niendeleze pale alipoishia ms mdee, thanks
Propaganda za kikoto kutujazia thread za ma AcT mkiona mnakijenga kumbee upuuzi tupu...Mkuu,
Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.
sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!
Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
Mkuu,
Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.
sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!
Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
Mkuu, ndio maana nikasema inawezekana una nia nzuri tu lakini ni kosa kubwa sana kujiunga na chama cha siasa eti tu kwa kuwa unataka uongozi fulani (hata kama unataka nafasi hiyo ya uongozi ki roho safi tu). Nasema hivyo kwa sababu kama utajiunga na chama kwa sababu hiyo halafu ikatokea hujapata uongozi , maana yake hutokuwa na sababu tena ya kusimamia misingi ya chama chenyewe kitu ambacho ni tatizo kimsingi.Vile vile ukijiunga kwa sababu hiyo, maana yake ni kwamba hata katika kura za maoni itabidi usimame peke yako kitu ambacho ni kinyume na misingi ya demokrasia.Kwa hiyo wewe unapoamua kujiunga na chama; jiunge tu halafu kupata uongozi itakuwa ni matokeo.
Ukijiunga act wasipopitisha jina lako kugombea ubunge kawe utahamia wapi? Usiwe kama waumini wa kikristo asipochaguliwa kuwa kiongozi ndan ya kanisa anahama dhehebu au muislamu asipopewa uongozi msiktini anaanzisha fujo hadi watu wanakatana mapanga. Naona nawe imani yako kisiasa hiko kifujofujo zaidi
mkuu maneno yako ni ya ukweli lakini umejaa unafiki mkubwa sanaMkuu,
Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.
sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!
Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
kwanza mkuu mimi ni mkazi wa huku kawe sasa kuna vitu nafikiri nataka nirekebishe kwa kutumia uwezo wangu utashi na akili zangu, sasa sitaki nianze kumtuhumu miss mdee ndio maana nimeamua na mimi niendeleze pale alipoishia ms mdee, na kwa chama nimekifatilia toka kinaanzishwa na misingi yake mission na vision zake zinaonekana ziko vizuri na zina malengo mazuri sasa hivyo haviwezikuji implement vyenyewe vinahitaji watendaji ndio maana nimeamua kuingia mzima mziam ile niweze kuwa part ya future ya chama, sasa basi nimeingia kwa malengo mawili 1: Kusaidia kukijenga chama 2: kusaidia kutatua matatizo katika jimbo langu la kawe. nimeamua kuweka record straight, mission za vision zangu as well ili hata chama kitambue nakuja kufanya nini sifyatuki tu kama mshale harafu sijui what next hope umenielewa na kama unawezakua na mchango unaweza ongezea ili kuweza saidia nchi yetu kusonga mbele. thanks
Mleta mada amekuwa transparent,ambao ni msingi mkuu wa chama!
Sasa Betlehem kama kiongozi mwandamizi hataki hii transparency!
Hapa hamna tumaini japo nami nitajiunga ACT kumg'oa Tundu Lissu Singida!
Mleta mada amekuwa transparent,ambao ni msingi mkuu wa chama!
Sasa Betlehem kama kiongozi mwandamizi hataki hii transparency!
Hapa hamna tumaini japo nami nitajiunga ACT kumg'oa Tundu Lissu Singida!
watumie email uwaulize maswali yako yote, huo ndio ushauri wangu.karibu mkuu tuijenge nchi pamoja sasa ni jukumu la viongozi wa ACT kujitokeza na kufanya mawasiliano na pia kujitangaza zaidi, na pia kuelekeza wapi office zilipo ili tukisukume chama kwenda mbele. viongozi ACT tafadhalini jitokezeni tuwasiliane