Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Ndugu wanajamvi!
Kwa wale wakazi wa Jiji pendwa lijulikanalo kama Dar es salaam, jiji hili limekuwa na pilikapilika nyingi za usafiri.
Lakini sambamba na adha hiyo, kumekuwa na ubabe mwingi kwa waendesha vyombo hivyo vya usafiri na kupelekea kila mmoja kuwa mbabe. Hii haijalishi, bodaboda, mikokoteni,gari nk.Hivi kwanini hupelekea hivyo?
Michango yenu ni mhimu kwa mstakabari wa kujenga utu!

Dar kila mtu yupo busy na maisha hali kma hyo kawaida sana

Aisee nilifikiri ni mimi naona hilo tatizo. Kwa kweli barabarani kuna ubabe kweli,kila mtu mbabe,mjanja anajua matusi yote!
Ndugu wanajamvi!
Kwa wale wakazi wa Jiji pendwa lijulikanalo kama Dar es salaam, jiji hili limekuwa na pilikapilika nyingi za usafiri.
Lakini sambamba na adha hiyo, kumekuwa na ubabe mwingi kwa waendesha vyombo hivyo vya usafiri na kupelekea kila mmoja kuwa mbabe. Hii haijalishi, bodaboda, mikokoteni,gari nk.Hivi kwanini hupelekea hivyo?
Michango yenu ni mhimu kwa mstakabari wa kujenga utu!
Nafikiri chanzo cha hili tatizo ni ubinafsi uliopindukia. kila mtu akiwa barabarani anajiona yeye ni bora kuliko mwenzake. Pili ni ujinga na upuuzi wa kutokufuata na kutii sheria za barabarani. Jambo lingine ni ushamba na kukosekana kwa ustaarabu katika matumizi ya barabara. Ni hayo tu
Kwa sababu hizo ni wazi kuwa kuna kitu cha kufanya kwa manufaa ya baadae!
Ujinga huo wa ubabe ndio unaendekeza foleni nyingine zisizo za msingi. Kuna Wababe wako barabara ya shungashunga kuunganisha Mandela Road wanaboa sana kila siku wanasababisha jam.
Naweza kukubaliana nawe kwa moja tu: Maisha yako juu sana kwa watz. wengi iwe kijijini hata mijini kwa hiyo watu wako frustrated.Hiyo ndo inaitwa"Survival for the fittest" and "Struggle for Existence"-Neo Darwinism.